Sunday, December 15, 2013

hi wadau, nimerudi tena baada ya kipindi kirefu sana! Infact naangalia uwezekano wa kuiboresha blog hii au kufungua blof nyingine kali! Stay tuned for the upcoming changes...

Friday, August 13, 2010

SHEREHE YA KUAGA WAJUMBE WA BODI - IJA
Mwenyekiti wa Bodi anayemaliza muda wake,
Mhe. Balozi Paul M. Rupia akitoa maelezo ya utangulizi
*****
Jaji Kiongozi, Mhe. Fakihi A.R. Jundu
akiwahutubia wageni waalikwa na watumishi wa chuo
****
Katibu wa Bodi na Mkuu wa chuo (IJA)
Mhe. Jaji E.M.E. Mushi akisoma taarifa ya chuo
****
Mhe. Balozi Rupia alipokata utepe wa jiwe la msingi
****

Mhe. Balozi Paul Rupia akipanda mti!
*****
Kutoka kushoto: Mhe. JK; Mhe. Balozi Rupia;
Bw. Mgina; Bw. Esanju; na Mhe. Jaji Mushi
*****


Mhe. JK akijadili jambo na Mkurugenzi wa Mafunzo Bw. Ntemi******

Wajumbe wa Bodi ya chuo wakiwa ktk picha ya pamoja



Wajumbe wa Bodi ya chuo: kutoka kulia - Bi. H. Sheikh;
Prof. S. E. Mchome; na Mhe. Balozi A. H. Mshangama (Mb)
******

Thursday, May 20, 2010

ZIARA YA WAJUMBE YA BODI YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA (IJA) - LUSHOTO KUJIONEA MIRADI YA MAENDELEO YA CHUO HICHO
Wajumbe wa Bodi wakipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi
wa Jengo la bweni la wanachuo wa kike, Bw. Mmasa.

Wajumbe wa Bodi ya IJA wakiwa ktk jengo la ghorofa 3
ambalo ni hosteli ya wanachuo wa kike

Jengo la vyoo vya nje 12 vitakavyosaidia
vyoo vya Jengo kuu la hosteli


Sehemu ya katikati ya jengo la hostel ya wanachuo wa kike
ambayo ujenzi wake unaendelea


Jengo la kufulia nguo (Laundry) likiwa ni sehemu ya hosteli

************************************


UNAMJUA ASHA NGEDERE WA ULAYA!!?

Huyu hapa...haya sasa, si umem-check fresh!!
Nini Joti, check mtindi huu..,
*****************************

RED TIDES
Red Tides are aslo known as Algal Blooms, caused by sudden influxes of massive amounts of coloured single-cell Algae that can convert entire areas of an ocean or beach into a blood red colour.
While some of these can be relatively harmless, others can be harbingers of deadly toxins that cause the death of fish, birds, and marine mammals. In some cases, even humans have been harmed by Red tides though no human exposure are known to have been fatal. While they can be fatal, the consistituent phytoplankton in Red tides are not harmful in small numbers.

***********************************

BLUE HOLES

Blue Holes are giant and sudden drops in underwater elevation that get their name from the dark and foreboding blue tone they exhibit when viewed from above in relationship to sorrounding waters.
They can be hundreds of feet deep and while divers are able to explore some of them they are largely devoid of oxygen that would support sea life due to poor water circulation leaving them eerily empty.
Some Blue Holes, however, contain ancient fossil remains that have been discovered, preserved in their depths.
****************************

SAILING STONES
The mysteries moving stones of the packed-mud desert of Death valley have been a centre of scientific controversy for decades.
Rock

Monday, May 17, 2010

UPAPARAZI SI KAZI YA LELEMAMA!

Upaparazi shurti kwa vipimo...lengo!...upate picha yenye kiwango!!

Wadau, hii sio sarakasi...Paparazi wapo kazini!..
***

SPOTI
Tenis
Rafael Nadal am'bwaga mpinzani wake Roger Federer ktk mchezo wa fainali wa Madrid Open. Nadal alishinda kwa seti: 6 - 4; 7 - 6; 7 - 5 na kuwa Bingwa wa michuano hiyo kwa mwaka 2010. Huu ni ushindi wa 168 kati ya michezo 174 aliyocheza tokea mwaka 2005. Kwa ushindi huu Nadal ameendelea kushika namba 2 kwa ubora, nyuma ya Federer.
Rafael Nadal akishangilia ushindi wake

dhidi ya Roger Federer ktk fainali ya Madrid Open

***

SEKESEKE LA MOSHI WA VOLCANO HUKO ULAYA
Hali ya sintofahamu inaendelea kuzitesa nchi nyingi za bara Uropa kutokana na kuendelea kuwepo kwa moshi mkubwa unaosababishwa na mlipuko wa volkano ya mlima.... Hali hii imetatiza safari za ndege barani humo na kuacha mamia ya ndege kukatisha ratiba za usafiri kwa sababu za kiusalama. Mdau, hali ni tete, hebu jionee mwenyewe picha chache za moshi huo hapa chini:

***

Monday, December 21, 2009

eneo la jiwe la mungu kama linavyoonekana ktk picha!

wadau waliotembelea eneo la kitalii la jiwe la mungu, huko Shume, lushoto wakionekana kwa mbaali!

mwanaglobu wa Nijuze akipozi ktk eneo la jiwe la mungu, yaani hapa ukiteleza tu....umauti ndani ya sekunde!!!

mwanaglobu wako akipozi kitalii!!....

mwanaglobu wa Nijuze!
mdau mkuu wa Nijuze!!!
mwanaglobu akiwa ktk vilele vya milima ya usambara!

hili ndilo jiwe la mungu na huu ndio unyayo wa binadamu wa kale!...mmeona wadau!!?

mdau wa Nijuze akiwa ktk kilele cha jiwe la mungu, hukooo Shume!!

wadau wakiwa ktk kilele cha milima ya usambara!
wazee wa miundo-mbinu wakitalii!
aah!...wadauuu...hapo vipiiiiiii, utalii muhimu!!!!
wadau wakipozi ktk picha eneo la jiwe la mungu, shume lushoto
wazee wa itifaki wakipozi baada ya Itifaki kuzingatiwa!
jiwe la mungu na unyayo wa binadamu wa kale!
Unyayo wa binadamu wa kale ukiwa umezungushiwa duara!


Mandhari ya eneo la jiwe la mungu!